Kenya/Uchaguzi: Tutasusia uchaguzi-NASA
Muungano wa upinzani nchini kenya the national super alliance ( NASA ) unaongozwa na aliyekuwa waziri mkuu Raila odinga umetangaza kususia uchaguzi mpya ambayo inatarajiwa kufanyika tarehe 17 septemba , ikiwa marekebisho haitafanywa. Akizungumza na wanahabari muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya eneo bunge LA embakasi mashariki , mwaniaji wa rais wa NASA Raila odinga alitaja watumishi kumi na wawili wa tume ya uchaguzi , wengi wakiwa chini ya katibu mkuu Ezra chiloba kuwa baadhi ya walioshawishika kudunisha uchaguzi , muungano huo pia ulitaka kampuni ya Al Ghurair iliyochaguliwa kuchapisha makaratasi ya kura na ile ya teknolojia ya safran morpho kutohusishwa katika uchaguzi huu mpya ili kuwe na uchaguzi wa haki na huru.
Wito wa muungano wa NASA inatokea siku moja tu baada ya kampuni ya safran kuomba kuongezewa muda kuandaa mitambo yao .”as sovereign state ,officers facilitated the dismays of figures purported to be results but which at the supreme Court were disowned by the commission as mere statistics must get out of the way that’s where the reforms of Iebc will begin , Abdi Guliye , Muli Bolu, Ezra chiloba , Marijan Hussein marijan , Betty Nyabuto , James muhati , immaculate kassait ,praxedes Tororey , moses kipkosgey , Sidney Namulungu in charge of kisii county who used fake forms to declare results , Nancy kariuki in charge of Mombasa county were fake forms were used to declare results , Silas Rotich in charge of Nakuru county , kenyans are coming for you salvage what you can and run they will be no election with you in office .” alisema Raila .
Article by Erick Mutinda – ShemezaClouds