Sina majivuno, asema Madowo
By 0 Comments
|
Mwanahabari Larry madowo amekana habari ambazo zinaenezwa mtandaoni kila anapo weka picha zake akiwa ziarani , kuwa yeye anajivuna na kujigamba. Kupitia ukurasa wake Larry amekana madai hayo akisema nia yake ya kusambaza picha zake ni kuwapa watu motisha kuwa wanaweza faulu maishani .” I’ ve realized that a lot of you wonder why I travel so much so I’ll be sharing a bit more information about where I am , what I’m doing and who I’m with .This is intention is not to brag but to demonstrate if a nobody like me can end up in these exciting places with extraordinary people .”